Thursday, March 17, 2011

SWEET EASY: JHIKOMAN LIVE ON STAGE THIS SATURDAY – 19TH MARCH 2011

Friday, March 11, 2011

1 & 2 kutoka Facebook statussalamu kwa ruge....
.by Joseph Mbilinyi on Friday, 11 March 2011 at 22:40.
...ruge hata afanyaje,studio ya wasanii ambayo alimuingiza mkenge rais kikwete ni lazima itarudi mikononi mwa wasanii wa tanzania kama ambavyo kikwete alitangaza ndani ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kuwa amewapa wasanii wa tanzania studio pamoja na pango la nyumba ya kuendeshea hiyo studio,kikwete hakusema alimpa ruge,tht wala hicho chama hewa ambacho hakijasajiliwa kisheria na basata kinachoitwa 'tanzania flava unit'...na ole wao wasanii vibaraka wanaotumiwa na ruge kupitia chama hiki kukwamisha jitihada zetu,ghadhabu ya kitaa itawashukia na hakika hawataliweza balaa lake...peooooples...poooower!!!


.

Tuesday, March 8, 2011

BERRY BLACK UK March 2011 tour
Berry Black live on stage This Weekend Friday 11th march Coventry @Parms Bar C1 AE & Sat12th March Reading @Face club rg1 7je Spread the Word & hope to see ya'all ther

Monday, March 7, 2011

1 na 2 kutoka Facebook
Je ni kitu gani ungependa kiwepo ktk katiba mpya? sikiliza maoni yafuatayo:
 DEREVA:Trafic wasiwepo barabarani.
MWANAFUNZI:Hesabu zifutwe mashuleni.
 MFANYA BIASHARA:TRA itaifishwe.
WANACHUO:Bodi ya mikopo imilikiwe na Dowans,
WAKAZI WA MBAGALA NA GONGO LA MBOTO: Ghala la mabomu lijengwe IKULU! Ww je?
No hard feeling
MPIGIE KURA CPWAA

Asalam Aleykum,
I hope weekend yenu imeenda swafi sana. Kwa mara nyingine tena mdogo wenu nimechaguliwa kugombania tuzo za Kilimanjaro Music Award 2011. Malengo yangu ni kuufikisha muziki wa Tanzania kwenye anga za kimataifa na kuleta mapinduzi kwenye soko mletu. Naomba unipe kura yako kwenye category mbili nilizochaguliwa:

Wimbo: ACTION- CPWAA ft Ms. Triniti. Dully Sykes & Mangwear.

Nomination:

Video bora ya mwaka: Tuma neno S 129 Kwenda namba 15747.

Wimbo bora wa ragga/dancehall:
Tuma neno L 129 kwenda 15747.

Kila SMS ni TSH 100 tu! au tuma kura zako ( L 129 na S 129) kwa barua pepe kwenda
ktma@innovexdc.com










Mjue daktari aliyemtibu Uhuru suleiman wa msimbazi
Uhuru suleimani akiwa katika picha na kushito na Dr. Dirip aliyemfanyia operation ya mguu.Kwa sasa mchezaji huyu wa simba anaendelea vizuri na karibu atarudi uwanjani.
Two in One
Exclusive new series from the director of Prison Break
Breakout Kings

In order to catch escaped convicts, a squad of U.S. Marshals makes a special deal with several current prisoners who have broken out in the past. If they agree to help, their sentences will be reduced and they will be transferred to a minimum-security facility. However, if any of them should try to escape, they will all be returned to their original prisons and their sentences will be doubled.




Its already out there people you know what to do

Saturday, March 5, 2011