Sunday, August 9, 2009

HAWA NDIO WASANII WA BONGO FLAVA SIMBA DAMU,























WASANII WA BONGO FLAVA WALIO SINDIKIZA SIMBA SC PART,
Cpwaa naeakukubali kumbejamaa ni simba damu Johmakini naealikuepo kuwakilisha simba Pnc naealikuwepo ndani ya pati hii ya simba Mzee wa unapenda nini nae alikuwepo vilevile blakuwa sahau Wanaume Halisia nao walikuwepo na mkali mwingine anaejulikana kwa nyimbo yake ya kazi ya dukani, Dj mull b,na wengine kibao,

Saturday, August 8, 2009

SIPIKA AKIWA AMESHIKIRIA JEZI YA HENRY JOSEPH ABAEANACHEZA SOKA LA KULIPWA ULAYA.









CLUB YA SIMBA LEO IMEFANYA BONGE LAPART NDANI YA UWANJA WA TAIFA WA ZAMANI,

Karibuni tena wapezi wa nipehabari, leo nimewaletea abari kuhusu club ya Simba imeonyesha nikiasi gani wanawajali wachezaji wao bilashaka! kwa Tanzania part hii waliyo fanya simba sc ni ya pekee. na haijawahi kutokea Tanzania kwa club yoyote kufanya part kama hii ambayo mashabiki wa Simba walijitokeza kwa wingi wakahakikisha uwanja umejaa. na Mgeni mwalikwa alikuwa ni Sipika wa Bunge la Tanzania ,

Friday, August 7, 2009



Nahodha wa zamani wa Taifa Stars, Henry Joseph Shindika ameanza kibarua chake akitokea benchi wakati timu yake ya Kongsvinger ilipoichapa Nybergsund kwa mabao 2-0 mchezo wa ligi ya Norway .










LAST WEEKEND OUT PHOTOZ,

Haya nimambo ya wiikiend iliyopita watu mbali mbali wakiwa kwenye mapumziko ya wikiendi kila mmoja anakaribishwa kwenye club wiikiendi pics.  

Thursday, August 6, 2009


Entrance will be 10,000 T.shs. It's the first Bongo Facebook Party... It's a chance for you to meet the people that you always chat with... Entrance will be 10,000 T.shs. 8th - August - Saturday from more info visit www.G5click.com or call +255755893232 EXCLUSIVE VIDEOS AND PHOTOS TO BE POSTED ON G5 CLICK WORLD SOCIAL NETWORK WEBSITE AFTER THE PARTY..... the address is - www.G5click.com Sign Up on G5click.com now...it's free






JUNGE NA KLEXMUSIC UWEZE KUSIKILIZA NYIMBO MPYA TOKA BONGO RECORDS ,

Wadau wamziki wa kizazi kipya a.k.a bongo flava nadhani kila Mtu amesikia kuhusu ujuo Mpya wa Studio ya bongo Records ujuo huo ni kazi kama (1) Bed Fight (2) CNN Mangwea ft FidQ ( 3) Feelings Niki wa pili ( 4) Loose your Head Langa ft Q chila Pfunk & Cpwaa, unaweza ukausikiliza kupitia http://klexmusic.ning.com/ navilevile mdau unaweza ukafungua profile yako ndani ya klexmusic karibuni wote,

DAR NDANI YA KIZA

TANESCO KUKATA UMEME TAREHE 13-17 MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA NI;

Maeneo hayo ni pamoja na Kinondoni Hananasifu,Kinondoni Moscow,Mkwajuni,Mwananyamala A,Ada Estate,Nyumba ya waziri iliyopo V ictoria,Drive Inn na maeneo ya karibu.

MAENEO YATAKAYO KOSA UMEME TAREHE 22-26 NI;

Masaki yote,Msasani Peninsula,Yatch Club,Coral Beach,SlipwaySea Cliff,Golden Tulip,Coco Beach,Tumbawe Road,Kajificheni Street,Kenyatta Road,Bandarin quarters na Kahama mines house.Tatizo hili la umeme ni kwa sababu ya kutengeneza transfoma za umeme zilizopo maeneo husika.



MCHANA  LEO NI MR  "SIZZLES"

Sizani kama hapa Posta Dar kunamtu alijui hili gari linalo tupa  Msosi wa ukweli na vitabi kama kawaida. mdau karibu uonje angalau kuku na  ndizi tu, leo uone mwenyewe.


KIZAAZAA TEMEKE TENA,

Baada ya tukio la ujabazi wa Bank ya NMB tawi la Temeke pamezuka milipuko wa gari la mafuta karibu na Bank hiyohiyo ya NMB nakusababisha wafanyakazi wa Bank kutoka mkuku ndani ya Bank wakizani Majambazi wamerudi tena,baada ya wafanyakazi kukimbia Polisi walitanda ili kulinda usalama wa Bank hiyo.


NIPEHABARI LEO BANDARINI

Leo  mida ya saa 7:00 asubuhi pametokea mlipuko wa mitungi ya gesi,mlipuko huo umewashitua baadhi ya wananchi jijini dar wengineo walihisi nimabomu tena kama Mbagala,

Wednesday, August 5, 2009

JIJI LETU NILETU WOTE TULIJENGE KWA UMOJA,





Nipehabari bongo leo 

Inakulete maendeleo yanayoonekana nayasiyoonekana jijini Dar kama unavyoona mdau kwenye hii picha iliopigwa toka mwaka jana ikionesha majengo yalivyo kua, kama wewe mdau unatebe tembea kidogo jijini utaona tofauti kubwa  katika sehemu hizi za haya majengo.

Maendeleo yasio onekana ni barabarazetu mitaro kutofanyiwa usafi mabombaya maji machafu kupasuka na kutofatiliwa kuchimba barabara na kuachwa shimo takiribani mwezi mzima bila kupaziba na kusababisha ajali basi wee mdau jaribu kutembelea baathi ya barabara mdau utajionea zinavyo chimbwa na kuachwaa hiyohivyo nazani ujembe umefika wadau nihayo tu leo jiji dar,

Tuesday, August 4, 2009


ONYO TOKA SERIKALINI
Serikali imepiga marufuku mara moja kwa dada zetu kutumia dawa za kuongeza wowowo, matiti na mahipsi kutokana na madhara kwa watumiaji ikiwemo cancer ,


Happy Birthday CEO
Apojana ilikua ni sikukuu ya Luca, tunapenda kumshukuru kwa kazi kubwa ya kutuletea bongo5.com

Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC,
Lipo mbioni kufanya ukarabati wa studio zake na miundo mbinu katika kuhakikisha mashabiki wa kandanda nchini wanapata matangazo ya moja kwa moja ya michuano mbalimbali ya Fifa ikiwemo Kombe la Dunia katika ubora wa hali ya juu

Monday, August 3, 2009


Sweet Eazy Oysterbay
Reservations:0755 75 40 74
Sweet Eazy Oysterbay,for the Best Live 
Music - Every Thursday & Satur
day.
LULU IBRAHIM ,

Ndie alie fanikiwa kunyakua taji la Miss kinondoni mwaka uu wa 2009 japakuwa palikuwa na upizani mkubwa lakini kutokana na Miss lulu kujiandaa vizuri bado wadu wako wanakutakia safari jema kwenye Miss Tanzania 2009