Friday, April 30, 2010

Ras nas kushambulia jukwaa Beirut na Cairo


Mwanamuziki Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi na kikosi chake kikali watashambulia jukwaa katika miji ya Beirut na Cairo kwenye tamasha la Spring Festival 2010 tarehe 14 na 15 mwezi huu.

Bendera ya Bongo itapeperushwa angani na kama wahenga walivyonena, asiye na mwana itabidi aelekee jiwe! Safu ya Ras Nas ina wanamuziki Uriel Seri (Ivory Coast), Chuck Frazier (USA), Karlos Rotsen (Martinique), Larry Skogheim (Norway) na Dag Pierre (Sweden). Wadau habari ndiyo hiyo!


Viongozi watatoka hapahapa
Wadau bado uhitaji wa elimu bora na majengo ni mkubwa sana mana vijijini wanafunzi wanapata elimu kwa tabu sana.Kwa shule kama hii wakati wa mvua hakuna kinacho endelea.




Wadau mambo ya mjini haya






Habari njema kwa wapenzi wa muziki kutoka kwa




MSAFIRI ISMAIL RUSUMO.

Nimetengeneza website www.rusumo.com ambapo wadau wataweza kusikiliza nyimbo mbali mbali za Tanzania kama vile taarab,segere,dance,bongo flava,gospel na nyimbo za kigeni kama vile raggae,za kihindi,pop na nyengine nyingi tu.

Pia kuna dictionary ya kisasa kabisa ambayo ina lugha zote za Ulaya na baadhi ya lugha za Asia,katika dictionary hii baada ya kupata tafsiri ya neno pia unaweza kuona picha za neno hilo kwa kubofya upande wa pili wa Ukurasa.
Kadhalika wadau wataweza kuona hali ya hewa na wakati wa sehem mbali mbali za dunia.
Ukiachana na maneno ya rusumo,mimi binafsi nimetembelea website hii kwa kweli inanyimbo nzuri sana za taarab na aina nyingine nyingi.mdau tembelea ujipatie nyimbo zote za mwambao wa pwana kama unavyojua kuwa hakuna vitu kama hivi kwenye website kwa sasa na brother ndio wa kwanza.

Thursday, April 29, 2010

CLOUDS TV ndani ya IFM


Waungwana leo clouds tv ilimtembelea Noorah maeneo ya IFM anaposoma.Ilikuwa ni kupata mawili matatu kuhusu alipotoka na alipo sasa hivi.Bahati nzuri nami nilikuwepo,na haya ndio nimekuandalia.

Cameraman ni brother Mohammed

Presenter ni casto






Sunday, April 25, 2010

JIONEENI WENYEWE,HII NDIO CBE Dar es salaam

Nimetumiwa na muungana mmoja wa CBE ambaye hii hali inamkera sana.
Waungana samahani kwa picha hizi lakini inabidi muone hali halisi ya chuo hiki




Hii ni aibu jamani utadhani sio chuo tena kipo mjini na kinatoa wasomi wazuri lakini huduma yake ndio hii



Picha nimetumiwa na Salim

BANJUKA NITE!!! FEATURING ALIKIBA & T.I.D ON CONCERT 2ndMAY B,HOLIDAY W,KEND DONT MISSOUT!!!!

MY PEOPLE ARE YOU READY ???......FOR ALIKIBA aka (MZEE WA MATONGE) & T.I.D aka(TOP IN DAR) THIS SUNDAY 2nd MAY BANK HOLIDAY W KEND @ THE ONLY PLACE 2 BE FACE NITE CLUB READING,RG1 7JE OFF CHATHAM ST, 5MINS WALKIN FROM TRAIN STATION>>>> DOOR OPEN 10PM-5AM MAKE SURE UR THERE & DONT MISS THIS BANJUKA NITE ONE NIGHT ONLY ......A BRAND NEW SEDUCTIVE SPLUSH AFRO NITE LIKE NEVA BEFORE LADIES & GENTLEMEN BRACE YOURSELVES T.ID & ALIKIBA WILL BE PERFOMING LIVE BACK 2 BACK FOR MORE DETAILS LEAVE DA COMMENT OR INBOX ME BLESS!!!!!!!



Mdau Unataka Kujua Kiswahili Kinavyo Paa Duniani Angalia Hii Video

Nas & Damian Marley - "AS WE ENTER" [Official Music Video]






SIKU YA MALARIA DUNIANI 25/4

watu walikuwa ni wengi sana na sherehe ilifana.









Big up kwa wanafunzi mana walikuwa na muamko mkubwa sana na walikuwa mengi.
hongereni sana wanafunzi mlionyesha muamko na mfano kwa wengine.Cha muhimu vipeperushi mlivyochukua mkavisome na kuvifanyia kazi

haya wengine hawawezi kusoma gazeti lenye habari ndefu,sasa mie nimefupisha(summarise)kwa ajili yako.ZINDUKA MALARIA HAIKUBALIKI






















Samahani wadau sikuweza kuwawekea uhondo wa perfomance za wanamziki waliofanya show leo mana internet inasumbua,promise kesho mtapata yote.

Friday, April 23, 2010

Two Swahili Fashion week Designers represent Tanzania


Inaugural “Origin Africa Designer Showcase”

Collection Made from Local Fabrics Made in Tanzania

Inaugural “Origin Africa Designer Showcase” will be held on 28 April 2010 in Nairobi at the Laico Regency. It is hoped that this will promote opportunities for local talent and local manufacturers to work together to develop a strong African fashion industry.

It is aimed to raise awareness about Africa as a preferred sourcing destination and to give up and coming designers the chance to work alongside industry leaders in designing apparel with commercial appeal and African flair. Its also to provide an opportunity for designers to present their latest designs and talents as well as providing a platform to create new networks, to promote and profile to the world at large, African fashion; where Origin Africa celebrates innovation, resourcefulness and design, that is uniquely African.

The Designer Showcase shall bring along designers from Kenya, Uganda, Ethiopia and Tanzania at this industry event only. Tanzanian Designers showcasing the Ready to wear Collection are Jamilla Vera Swai and Robi Morro of Mapozi Designs.

Jamila’s Collection is named “Say and Color Zero” Inspired by her daughter of two first school homework “Say and Color Zero”. This became her constant routine for every evening. “Her favourite colors being red and black, I decided working with that by layering them by individual colors, with the print zero” said Jamilla.

Tanzania Cotton Board’s (TCB) Textile Sector Development Unit (TSDU) – through the
Organisers’ of the Swahili Fashion Week – has facilitated the participation of Robi Morro and Jamilla Vera Swai.

The work of the Textile Sector Development Unit has been made possible by support from the Gatsby Charitable Foundation and its associated Tanzania Gatsby Trust (TGT). Tanzania Cotton Board wants to ensure that more Tanzanian grown cotton is transformed into higher value added products in Tanzania

“If more Tanzania fashion designers showcase their designs regionally and internationally that this will have a positive impact upon Tanzania’s textile industry – especially that part of the industry that makes kanga and Kitenge cloths.” said Mark Bennett, Textile and Apparel & Trade Specialist for the Textile Sector Development Unit.

“We would hope that stylish Tanzania made clothes – made from kanga and Kitenge cloths become essential fashion items in the West” concluded Mr. Bennett.

Robi Morro of Mapozi Designs collection is named Garden of Style, which is inspired by the woman.” A woman is like a flower, she blossom well if taken good care of” said Robi. “The pieces are very feminine, flirty, sassy colourful and fun aimed at bringing out the woman's beauty with the use of bold colourful floral prints.” added Ms Morro




DAR ES SALAAM JUMAPILI
Huwezi ukaamini mji huu jinsi ulivyokimnya na mweupu siku hii ya leo,ndio unaowapa adhabu ya foleni wakaazi wake siku za kazi


WAUNGWANA HUU NDIO UBUNIFU

Thursday, April 22, 2010


OHIO KIPINDI CHA MVUA


wait,Inamaana hili shimo halijaonekana toka wakati ule nadhani yapita miezi mingi.
Au ndio mpaka watu waharibu magari au kuvunja moguu mana kwa wale wapitao usiku kwa mambo yetu yale shimo halionekani

Huu mti uliowekwa na wasamaria wema unazuia mpaka magari kupita vizuri mana umezidi barabarani



ohhhhhhh no!! another one.


comment york



CPWAAAAAAAAA KILI MUSIC AWARD

Habari za kazi ndugu,mashabiki na marafiki zangu. Poleni kwa majukumu. Kijana wenu nimepata nafasi ya kuchaguliwa kushiriki kwenye tunzo za muziki mbalimbali Tanzania mwaka huu 2010. Naomba unipigie kura kwa kutumia maelekezo haya:
TUNZO ZA KILIMANJARO ( KILI MUSIC AWARD) 2010 :VIDEO BORA YA MWAKA Tuma neno KILI T13 kwenda namba 15723.
Au piga kura online, tembelea:
Nenda chini ya page,tafuta Video bora ya muziki ya mwaka..tiki Problem-Cpwa kisha weka email yako na bofya VOTE.
TUNZO ZA XXL ( XXL TEEN AWARDS) 2010
Video Kali ya mwaka:
Tuma neno TN F3 kwenda namba 15551 Video kali ya kucheza :
Mrembo wa mwaka kwenye Video:
Tuma neno TN C1 kweda 15551
Au piga kura online,tembelea: http://www.nipe5.com/
Kama huifahamu video ya Problem bofya hapa: http://www.youtube.com/watch?v=OXhqQY4QxvE&feature=related Asanteni sana. Pwaaaa!




MVUA ZA LEO CHUONI IFM KILAKONA MAJI PAKUPITA HOLAA:

Wadau angalieni wenyewe jinsi ubovu wa miundo mbinu ya chuo unavyo kitia aibu chuo.nadhani tunahitaji boti pale ilikuelekea mabweni ya wavulana.
ohh ohhh ohh like i said,tunahitaji boti.mana kalamu na karatasi havifai hapa


No comment.Zinduka malaria haikubaliki oopsss!!!!

Waungana sio kwamba IFM namazingira mabaya tu.ila kwenye mtatizo lazima tuongee ili parekebishwe,nadhani uongozi waangalie tena umuhimu wa kutanua miundo mbinu.