Daladala yauwa wanafunzi wawili leo asubuhi
wanafunzi wawili mtu na ndugu yake ambao majina yao hayakuweza kujulikana wamegongwa na daladala maeneo ya njia panda ya kuelekea bahari beach na daladala ya kunduchi na kufa papo hapo.
Baada ya tukio hilo wnafunzi wenzake(shule hatujapata jina)walikuja juu na kufunga barabara ya kuelekea tegeta ambayo ilisababisha foleni mana hakuna gari lililopita kwa takribani saa 1 na 30 hivi.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa asubuhi hii.
Angalia video hapo chini ujionee mwenyewe
Habari katika video hapo juu imekuwa fupi kwa sababu mdau aliyetuletea ilibidi aondoke mapema eneo la tukio mana wanafunzi walikuwa wanarusha mawe sana.
Picha na habari tumetumiwa na mdau wetu wa blog Baba styles