Tuesday, May 26, 2009

HAPATOSHI........




Mwaka huu video za bongo zinazo bamba kimataifa kati YA Cpwaa na Black Rhino ndio wasanii wa bongo ambao video zao zina bamba CPWAA PROBREMS video inabamba MTV, BLACK RHINO yee anabamba kwenye Televisheni za Channel O sasa kati ya hawa wawili nani ataibuka na tuzo za video bora kati ya MTV na CHANNEL O,

2 comments:

  1. Mii cpwaa aminia naimani utanyakua mazee mtv wala usikonde hiyo vidio yako najinsi ulivyo imba hakuna mtu kafanya bongo good to goo man.....

    ReplyDelete
  2. Lakini wote niwakali msiwabague jamani kazi wazofanya vijana ningumu chamuhumu ni kuwapa moyo na kusonga mbele.

    ReplyDelete