Sunday, May 24, 2009


USAFIRI WA DALADALA BONGO KAMA VITA,

Hili swali lausafiri kuwaka vita hapabongo limetolewa na mdau wa mbagala, anasema kwamba kilasiku kukicha lazima agombanie usafiri. na atamara nyingine unakuta anapigana na abiria mwenzake kwajili ya kugombania kiti ! pia viongozi wanao usika na swala la usafiri awajaweza kionyesha msimamo kama viongozi wa kenya, juu ya swala la usafi bora kwa kila raia wezetu kenya raia awaruhusiwi kusimama kwenye daladala na raia ukikutwa umesimama au aujafunga mkanda kwanza unapigwa faini ya hapohapo na asikali wa usalama . kwahiyo unakuta raia wenyewe wanaogapa kusimama chakushanga za hapa dar asikari wanaona abiria wamejaa kwenye gari wao wanangalia tu wanaona sawa, sheria yenye msimamo iwekwe akuna kusimama kwenye daladala na lazima abiria ufunge mkanda,......

No comments:

Post a Comment