Monday, July 27, 2009


ARI MPYA NGUVI MPYA KASI MPYA

Msemo wa ari mpya nguvu mpya sio kulala kama mdau huyu alielala chini ya mti kinacho takiwa ni kufaya kazi kwa bidii kufaya kazi kukwepa umasikini kuleta maendeleo kwenye taifaletu sio kulala na kutojishugulisha nakituchochote ,

2 comments:

  1. bro unashule lakını?huyu mzee nı muangaıkaji lakını hanabudi kuchoka na kuamua kupmzıka.INCHI IMEKUWA KAVUU,NCHI IMEJAA UKUANA NA UFSADI

    ReplyDelete
  2. bro umetoa bonge la point kweli nchi kavu vibaya mno,

    ReplyDelete