Tuesday, June 30, 2009





Weekend hii baba wapi?
Amna burudani nzuri ya watoto kama kuwapeleka ufukweni japo mara mbili kwa mwezi siimbaya pia kwa wale wazazi wasio onana na watoto wao kwajili ya kazi unarudi usiku na unaondoka asubuhi jaribu ata weekend moja uwe pamoja na familia yako ,

No comments:

Post a Comment