Monday, June 8, 2009

WIZI WA LAPTOP DAR,
Kumezuka tabia ya wizi katika mitaa ya jijini Dar es salaam. Wakiongea kwa wakati tofauti wakazi wa Jijini wameelezea matukio hayo ya wizi wa "Laptop" ambapo walisema ya kuwa umeanza kushamiri jijini na kuwaonya wakazi zaidi kuwa macho na matukio hayo. Aina hiyo ya wizi .

Wakiongea kwa wakati tofauti wakazi wa Jijini wameelezea matukio hayo ya wizi wa “Laptop” ambapo walisema ya kuwa umeanza kushamiri jijini na kuwaonya wakazi zaidi kuwa macho na matukio hayo.

Aina hiyo ya wizi ambapo wezi wanakuja wakiwa wanaendesha gari na kukukaribia kisha kupitia dirishani wanakunyang’anya mfuko ambao umebeba kompyuta yako na kukimbia. kuweni makini na vibaka hawa ,


No comments:

Post a Comment