Wednesday, August 19, 2009

Movie kali kuzidi zote ya wabongo na. wakenya waishio U.S.A
leo hii nipehabari inakuletea vionjo vya movie ya wa Bongo waishio Marekani na waerekani pia movie hii inajulikana kwa jina la (Baby Powder) itaziduliwa November mwaka 2009



7 comments:

  1. I want to watch this movie so bad!!!!

    ReplyDelete
  2. Huyu ndio director wa Mac Muga, video ya Ali Kiba?

    ReplyDelete
  3. Ndio, jina lake Karabani

    ReplyDelete
  4. Yuko LA marekani! Kijana mambo yametulia...

    ReplyDelete
  5. bro big up sana hii nibonge la movie haijawai kutokea East Afrika tunaisubiri sana ok byee

    ReplyDelete
  6. Bongo stand up, finally na sisi tumo ndani kwenye hii industry!

    ReplyDelete
  7. aminia babake mwazo mwisho wabongo siimcheo kilakona lazima tukabe

    ReplyDelete