Sunday, September 13, 2009


Tatu Bora ya Mnet Face of Africa
Bongo..
Pichani ni Visura ambao wamefanikiwa kufikia hatua ya juu ambapo majina yao na picha vitatumwa afrika kusini kwa hatua ya mwisho ambayo hatimaye Tanzania itajipatia mwakilishi katika shindano hilo la Face of Africa linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni mwaka huu.

1 comment:

  1. jamani acheni kukaa uchi muogopeni MUNGU.

    ReplyDelete