LAMI HADI USWAHILINI USIJALI MDAU TUTAKUWEKEA TU!
Mafundi wakiendelea na harakati za kusambaza lami barabarani kama unanyoona mdau mkeka uooo!!!!!!!
Karibuni tena wadau kwenye sakata la kujenga Taifa letu kama unaoyoona mdau kwenye hizi picha ukarabati wa baadhi ya Barabara ukiendelea jijini Dar leo.
TANZANIA IMEPIGA HATUA KWENYE MAWASILIANO – MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi
zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na teknolojia ya habari.
Amesema ...
22 minutes ago
No comments:
Post a Comment