NAIBU WAZIRI WA NISHATI JUDITH KAPINGA AGAWA BURE MITUNGI YA TAIFA GAS 1500
KIJIJI CHA MSOMELA
-
Na Mwandishi Wetu,Tanga
NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mitun gi ya gasi 1500 kwa
wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Hande...
1 hour ago
uzushi tu mwanaamu hakuwahi kuwa hivyo.
ReplyDeletehata mtu aliyeupload hii picha anaamini kuwa yeye mwenyewe alikuwa hivi?sijui lakini kwa maoni yangu sitaamini kitu kama hichi katika maisha yangu.Huu ni mtazamo tu si chuki........
ReplyDeletemimi amuuliza huyo jamaa wa Nairobi mbona sasa hivi hatuoni hao Masokwe kubadilika. vipi iwe zamani tuu? jibu langu ni hili tungekuwa tumetokana na Sokwe basi tungeitwa Wanamasokwe. lakini kwa sababu tunatokana na Adam ndio maana tunaitwa Wanaadamu.na Adamu ndio mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu. nafikiri nimefahamika vizuri.
ReplyDeleteSIDHANI KAMA KWELI TUMETOKEA KIPANDE HIYO YA SOKOMUTU, NAHISI HIZO ZILIKUWA PROPAGANDA ZA WAKOLONI ILI WAANDIKE VITU PASI KUWA NA UHAKIKA, KWANI HATA HIZO READINGS HAZIKO SURE KWANI NI VITU VYA KUSADIKIKA.. . . .BELIEVE IN GOD,
ReplyDelete