KIJANA AKISHEREKEA ENZIZILE ALIPOMALIZA MAFUNGU SABA !
ok wadau kijana huyu hivisasa ni?
MABOMU MBAGALA BADO WATU WANAISHI KWENYE MAHEMA MPAKA LINI?
Mmoja wa wakazi wa Mbagala, Dar es Salaam, walioathiriwa na milipuko ya mabomu Aprili mwaka jana, Johari Ali (kushoto) akizungumza na wageni wake nje ya hema anapoishi. Mwananchi huyo anadai kuwa hajalipwa fidia, na imefahamika kwamba waathirika waliopewa mahema walitakiwa kuyarudisha kwenye mamlaka husika ili yakatumike katika maeneo mengine yaliyokumbwa na maafa.
Chris Brown Kama mnavyomuona wadau akiendelea kuwajibika nakujituma jamaa anasema yupo fiti ilembaya nakazi ya ainayoyote anaweza kufyanya billa wasiwasi .
Hundreds of properties without water for sixth day
-
Southern Water says supplies have returned to most properties but hundreds
are still affected.
1 hour ago
No comments:
Post a Comment