UNAFIKIRIA NINI?
Mie nadhani huyu kuku kama angekua anaongea basi anamengi ya kusimulia mana amepigana vita nyingi kianzia kwa kuku wenzaka mpaka kukoswa koswa kuchinja na bado anadunda.
WAZIRI BASHE ABAINISHA MIKAKATI YA SERIKALI KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA
MKONGE
-
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amebainisha mikakati ya serikali
katika kuongeza uzalishaji wa zao la Mkonge kutoka tani 56,732.69 mwaka
2023/2024 had...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment