CCM YAMWAGA ZAWADI KWA WASHINDI WA BAHATI NASIBU
Chama cha mapinduzi ccm jana kimechezesha droo ya bahati nasibu ya changia ccm ushinde zawadi kemkem.Pichani ni bwana Jerry Chuma mmoja wa washindi waliopatikana akihojiwa na vyombo vya habari.Upande wa kulia ni waheshimiwa bwana Semu Bandora na Alex kibatala aliyeshika makaratasi mkononi.
Baadhi ya zawadi zilizokuwa zinazoshindaniwa.Kwa ujumla zawadi katika bahati nasibu ni Baiskeli 200,pikipiki 64 na fedha taslim milioni 45
Mmoja wa washindi akipokea zawadi yake
No comments:
Post a Comment