Saturday, September 25, 2010

Jiunge na Nurah fan club
Muda mfupi uliopita nimetoka kuongea na Babaz  kuhusiana na fan club yake aliyoianzisha ili kuwa karibu na mashabiki wake.Ni wasanii wachache sana ambao wamesogea mbele kuweka urahisi wa kupata maoni na ushauri kutoka kwa mashabiki wao.Bada ya mazungumzo nae alitaka kuwaambia hivi mashabiki wake.

Babaz "Hi guys! Thanx for joinin in my sms fan club. If you havent done that yet,just text babaz to 15327. This club will give you all my updates direct from my mobile phone to yours and also you will be able to chat with me abt anything! Thanx for supporting my music! Love you all!"
 Kujiunga na Babaz fan club  ni  Tsh 250 tu,Baada ya hapo habari zote utakazotumiwa utapata bure kabisa.Ukitaka kumtumia ujumbe wowote Nurah utakatwa Tsh 250.

No comments:

Post a Comment