Enzi hizo
Enzi hizo za utoto we2 tulikuwa tunaokota hela sana,lkn sasa hivi imekuwa vigumu sana.wewe unafikiri ni kwa sababu gani???
A)Ugumu wa maisha
B)Watu wamekuwa makini na bahili sana
C)Ukitembea na tochi na huku unaangalia chini utapata tu kama zamani
D)wa2 wengi wanavaa majinsi
E) Hakuna jibu sahihi.(Weka jibu lako mdau)
...
Swali kutoka kwa mdau Abdillah. D. Nkya
SADC YASISITIZA USHIRIKIANO WA KIKANDA KUONGEZA THAMANI YA MADINI NA BIDHAA
KATIKA UKANDA
-
Na. Ramadhani Kissimba, Durban
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
zimeshauriwa kuimarisha ushirikiano na kuweka mikakati ya pa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment