Saturday, August 15, 2009

YANGA AFRICAN VS U R A YA UGANDA 14-O8-2009















Yanga yawanyamazisha mashabiki wa Simba,
Hapo jana kwenye uwanja wa zamani wa Taifa yanga chupuchupu mbele ya U R A ya Ugada katika kipindi cha kwanza U R A walikua wanaongoza kwa bao 1 katika kipindi cha pili kocha wa Yanga alifanya mabadiliko na kufanikisha kusawazisha bao lililofungwa na mshabuliaji wa Yanga raia wa Kenya - Mike Baraza katika dakika ya mwisho na kuweza kuwanyamazisha U R A na kekele za mashabiki wa Simaba ,

Friday, August 14, 2009




Attn: Editors

For Immediate Release: August 13, 2009

WHITECAPS ADD THREE TO PDL SIDE

Wabongo Wafata Nyayo za Hasheem Thabeet, U.S.A

VANCOUVER, BC - Vancouver Whitecaps FC announced today the acquisition of midfielder Nizar Khalfan from Tanzanian club Moro United for an undisclosed financial amount, as well as the signing of Nigerian defender Michael Ndubuisi Onwatuegwu - simply known as Michael. The Whitecaps have also acquired defender Nadir Haroub on loan from Tanzanian club Young Africans FC. All three players have been registered to the Whitecaps United Soccer Leagues (USL) Premier Development League (PDL) team for the remainder of the season, plus an option for 2010.

Khalfan, 21-years-old, joins the Whitecaps after playing the 2008-09 Tanzanian Premier League season with Moro United. A talented midfielder, Khalfan spent the 2007-08 season in the Middle East with Al Tadamon of the Kuwaiti Premier League. The youngster has also had a successful international career, which includes one game-winning goal in five FIFA World Cup qualifying matches for Tanzania. The 5-foot-7, 150-pound native of Mtwara, Tanzania, also scored the match winner during an historic 2-1 victory over Burkina Faso at the Tanzania National Main Stadium in Dar es Salaam.

Michael, 22, joins the Whitecaps after playing with Persiba Bantul of the Indonesian Premier Division from 2005 to 2008. Born in Onitsha, Nigeria, the 6-foot-3, 185-pound defender participated in a Nigerian U-17 national team camp in 2004.

Haroub, 26, joins the Whitecaps on loan from the Young Africans FC of the Tanzanian Premier League, where he played from 2006 to 2009. Young Africans (known locally as 'Yanga') are Tanzania's most successful club, having won 17 Premier League titles, including back-to-back championships in 2008 and 2009. Prior to joining Yanga, the 5-foot-10, 150-pound native of Michenzani, Zanzibar, played one season in the Zanzibar Premier League. As a member of the Tanzanian national team, Haroub has appeared in six FIFA World Cup qualifying matches for the Taifa Stars.

The Whitecaps also announced today that they have released defenders Paul Hamilton and Navid Mashinchi from the PDL team.

The Whitecaps return to Swangard Stadium this Saturday, August 15, at 7 p.m. PDT to take on Carolina RailHawks. Tickets are available by calling Ticketmaster at 604.280.4400 or by visiting whitecapsfc.com/tickets.




KONGAMANO LA KITAIFA LA WANABLOGU LAANDALIWA

Je wewe ni mwanablogu (Blogger) au mdau wa habari na mawasiliano kwa umma kwa kutumia mtandao? Kama jibu ni ndio, tafadhali unaombwa kujiorodhesha kwa ajili ya maandalizi ya Kongamano Maalumu la Kitaifa kwa ajili Wanablogu (Bloggers) na wadau wa habari na mawasiliano wa Tanzania (Tanzanians Bloggers Summit) linalotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu jijini Dar-es-salaam,Tanzania.

Dhumuni la kongamano hili ni Kuelimishana, Kufahamiana, Kuamsha Utambuzi Rasmi Kuhusu Tekinolojia ya Blogu na Mawasiliano ya Umma kwa Kutumia Mitandao, Kusaidia Utambuzi Rasmi juu ya mchango wa blogu nchini Tanzania kama chombo muhimu cha habari na mawasiliano, Kuelimishana jinsi gani blogu zinaweza kutumika katika kuleta maendeleo katika nyanja za kijamii, kisiasa na kiuchumi, kuburudisha, kukuza utamaduni nk.

Wataalamu mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wataalikwa kutoa mada na mafunzo mbalimbali kuhusiana na tekinolojia ya kublogu, zana nyinginezo za mawasiliano mtandaoni kama vile mitandao jamii(social networking), online forums nk.Kutakuwa na vipindi vya maswali na majibu.

Ili kufanikisha maandalizi ya Kongamano hili la kihistoria, kujiorodhesha kwako ni muhimu sana. Muda wa kujiodhoresha ni kuanzia tarehe 12/8/2009 (Jumatano) mpaka 12/9/2009 (Jumamosi) tu.

Kinachohitajika ili kujiandikisha ni :

Jina Lako, Anuani yako ya barua pepe (E-mail), Mahali Ulipo au unapoishi (Nchi,mji nk),Namba ya Simu (sio lazima) na Anuani au URL(Universal Resource Locator) ya blogu yako (mfano www.kongamano.blogspot.com/wordpress.com/.com/typepad nk). Vyeti vya Ushiriki vitatolewa kulingana na habari utakazoziorodhesha hapa.

Unaweza kujiorodhesha kwa kutuma ombi lako kwa barua pepe kwenda; summit@bongocelebrity.com.

Zingatia tarehe za kujiandikisha.

Ni mwezi mmoja tu! Asante kwa ushirikiano. UMOJA NI NGUVU!

Thursday, August 13, 2009


Leo hii Club ya Simba Imesimamisha Wachezaji Wawili,
Ni kutokana na utovu wa nidhamu waliosimamishwa ni (1) Ulimboka mwakingwe (2) George nyanda na wengine wawili kupewa onyo kali ni (1) Haruna mosh (2) Ramadhani Chombo Wameitwa tarehe 29 septemba 2009 katika kamati ya utetezi wa nidhamu wajitetee.

Nani Mkali wa Freestyle Bongo..??

Mratibu wa shindano hilo DJ Fetty alisema ya kuwa wanategemea mashindano hayo kufanyika mwishoni mwa wiki hii ndani ya ufukwe maarufu kabisa wa Coco Beach ambapo shindano liko wazi kwa yeyote yule anayetaka kujitokeza kushiriki kwa Wilaya ya Kinondoni kwanza na baadae itafuatia kwa wilaya za Ilala na Temeke.


“Kama nilivyosema tunategemea shindano litafanyika Coco Beach kuanzia muda wa saa tatu asubuhi siku ya tarehe 8 ambapo mshindi atakaepatikana hapo ataingia kwenye Fainali ya mikoa yote mitatu, form zipo ofisi zetu za Clouds FM Mikocheni au Kitega Uchumi” alisema Fetty

Bila kuweka ni kiasi gani mshindi wa kwanza atapata lakini Fetty alisema ya kuwa kuna mamilioni ya zawadi na hivyo basi kama unajiamini wewe ni mmojawapo fika Coco uchukuwe Mamilioni hayo.
















Mr Anton Alphonce na Ms Lilian Ernest Musiba

Wakiwa wanameremeta send - of  hii ya wapendano hawa imefanyika maeneo ya vijana, kama unavyo waona kwenye hizi picha mbalimbali .na upande wa burudani waliwakisha wataniwao wajadi kutoka bukoba yani wahaya. 

Wednesday, August 12, 2009

Salsa classes are back on!We start the new course next week,

Beginners Course 

Dates : 11th August to 8th September 2009 
Time : 8 to 9pm 
Venue : Little Theatre 
Course Fee : Tsh 45,000 per person 

Improvers Course : 
Dates : 11th August to 8th September 2009 
Time : 9 to 10pm 
Venue : Little Theatre 
Course Fee: Tsh 45,000 per person 

Intermediate / Advanced 
Venue : O’Willies Irish Pub from 830 to 930pm. 

Salsa Socials 
Every Thursday Rooftop of the Irish Pub from 830 to 11pm.


exclusive african fiesta bash!!! 30th aug 09

face club in reading is the place to be on sunday30thaug09 bank holliday week end alongside bongodjs on mix playing the best of afro tunes ,oldies,RnB,funky,dancehall & reggae 5mins walk from train station dont miss!!!

Tuesday, August 11, 2009


ULEVI NI HATARI KWA MWANAMKE,

Naelewa wazi mada hii ninapo izungumzia kwa baadhi ya watu itakua ni utata mkubwa kwani dunia hii tunayoishi inaidadi kubwa ya watumiaji wa pombe ukilinganisha na vinywaji vingine na baadhi ya pombe ni bia , konyagi, wiski,mbege,gongo,na n.k Kwani mwanamke hupaswi kupata ushawishi kutokana na kigezo hicho kwani vnywaji vipo vingi tu unaweza kutumia tena vikakupa afya njema na kukuongezea mvuto wa mwonekano kwani unapokua mnywaji wa pombe ulevi wazi mvuto wako unaaza kupotea taratibu na wakati mwingine unaweza kuonekana mzee kablaya wakati wako,

HII SHERIA VIPI WADAU
Hii ukumu anayo pewa huyu mama wa kiarabu baada ya kutoka nje ya ndoa. azabu ya kupigwa mawe hadi kufa swali la wote je! hukumu hii ikekuepo Tanzania ikekuaje?


CEO wa LZ, Mr. Zamunda
Mr zamunda akiwa anapata matunda jijini dar leo mchana kama bahati nipehabari imeweza kukutana na Mr zamunda, ambae anajitahidi kuwatafutia timu za kuchezea wachezaji wa bongo nje ya nchi. jamaa anahiji pongezi katokana na juhudi zake za kuwasajili wa chezaji wa soka tanzania .

WATANZANIA TUMPIGIE KURA ILUMINATA JAMES,

Mwakilishi wa Tanzania kwenye kinyang’anyiro cha Miss Universe Illuminata James ameshawasili kwenye visiwa vya Bahama tayari kabisa kwa kinyang’anyiro hicho kinachotarajiwa kurindima siku ya tarehe 23 August

Kama Mtanzania una uwezo wa kumuwezesha Illuminata kuwa mshindi kwa kumpigia kura nyingi uwezavyo kwa kubofya http://www.missuniverse.com/ members/profile/418 1members/profile/41815 hapa, kura za mtandaoni bado zinaendelea kupigwa hivyo basi Mtanzania hujachelewa. 

Shindano hilo linatarajia kuonyeshwa na kituo cha televisheni cha NBC siku hiyo ikiwa ni saa tatu usiku (9.00pm) hapa nyumbani. 

Illuminata Wize
Tanzania
Country: Tanzania
Hometown: 
Age: 24
Fluent in: Kiswahili, English, Sukuma

Monday, August 10, 2009


MSANII WA BONGO ANAETESA CANNADA ANAEJULIKANA KWA JINA LA PROVELI,

Ametua bongo kuja kufayanya kazi na baadhi ya wasanii wa bongo flava proveli wakwanza kushoto anafaya mziki wa Hip hop nchini cannada jamaa siutani ni mkali vibaya anapafomu laivu hip hop na wasanii anaofanya nao kazi bongo ni Fid.q Cpwaa ,


JID KUFANYA KAZI YA MZIKI MWENYE JUKWANI,

Bongo Diva Lady Jaydee ametanabaisha ya kuwa kuanzia wiki ijayo ataanza kupanda jukwaani akiwa kivyake zaidi si kama wengi walivyozoea kumuona akiwa na Band nzima ya Machozi. 

Akiongea zaidi Jide alisema atakuwa akifanya kazi kivyake vyake zaidi mpaka hapo likizo itakapoisha na akirudi toka likizo pengine atakuja na Band mpya itakayojulikana kama New Machozi Band, ambayo itakuwa ikiundwa na sura mpya kabisa ambazo hamjawahi kuziona. 

Bila kuweka bayana kuwa je ndio itakuwa mwisho wa Machozi Band tunayoifahamu kwasasa au la, Jide alisema wapenzi wake wasiwe na wasiwasi kwani watapata burudani ile ile ya “Sanya Sanya” kama kawa. 

Zaidi ya hilo aliomba washabiki na wapenzi wake wafike weekend hii tarehe 16 pale Arabela kwa uzinduzi wa video yake mpya ya “Nataka kuwa Malaika” ambayo itakuwa ikionyeshwa kwa mara ya kwanza siku hiyo.
FAT JOE SII FAT KWAJINA TU, HATA MISOSI PIA YUPO FAT.

Sii utani mwili aujengwi kwa mawe, mdau hii meza kama unavyo muona fat akiwa peke yake  akijipatia misosi ya ukweli, ndau kamaulikua ujuimaa anapiga misosi vip jionee leo,

Sunday, August 9, 2009












KARIBUNI TENA NDANI WEEKEND OUT PHOTOZ
Weekend hii out photo nikutoka cine club ambako mtuzima Banana Zoro akiwa na Mjomba Mjomba ndani ya B-Band katika out photoz club, watoto naoawalikua ufukweni wakiogelea na kuchza kama unavyoona mdau kwenye hizi pic,