Ni wazi kuwa mpaka hivi sasa tunafahamu kuwa Kaseja amefungwa goli mbili tu,yaani ni sawa nakusema kuwa Simba imefungwa jumla ya magoli hayo.Hivyo basi endapo Kaseja ataendelea na msimamo huo wa kuzuia wapinzani kutikisa nyavu za lango la Simba,patakuwa na nafasi kubwa ya kipa huyo kunyakuwa taji la kipa bora katika msimu huu.Makipa wengine wengine ambao wapo katika nafasi nzuri ni pamoja na Obren Curcovic wa Yanga,Shaaban Kado wa Mtibwa Sugar amba wote mpaka hivi sasa wamefungwa magoli matano kila mmoja.Je,wadau wenzangu mnadhani Kaseja ataibuka kifua mbele?
PM to give No 10 speech after weekend of Greenland and tariffs turmoil
-
Sir Keir Starmer is due to respond to US President Donald Trump's latest
move to take over the Danish territory.
1 hour ago

hakuna cha ramli wala utabiri. haihitaji kuumiza kichwa. time will tell. maneno hayatasaidia awe kipa bora ama asiwe.
ReplyDelete