Waugwana napenda kuwaambia kuwa nitakuwa nje ya mji kwa muda wa wiki hivi.Kwa hiyo nitashinda kuwapa habari na matukio mapya kwa kipindi hiki lakini nikirudi nitawawekea matukio nitakayo kutana nayo.Samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokea .
Maonesho ya Wiki ya Elimu Tanga kuzinduliwa na Waziri Mkenda
-
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI Wa Elimu Sayansi Na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda anatarajiwa
kuzindua wiki ya elimu,ujuzi na ubunifu inayoendelea katika viw...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment