Wednesday, October 27, 2010

Mkuto wa Kampeni Nkome:JK apokelewa kwa Kishindo
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa Bugando alipowasili kwenye mkutano wa kampeni Nkome Wilayani Geita

Maelfu ya wananchi wa Nkome wakimshangilia mgombea urais Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa anahutubia mkutano mkubwa wa kampeni Nkome.

Mheshimiwa Kikwete akisalimiana na maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mapokezi Nkome.

Kabla ya nkome Mheshimiwa Kikwete pia alisimama vijiji vya Kasota na Nzera wilayani Geita ambapo pia alifanya mikutano ya kampeni na kunadi sera za CCM na kuwaombea kura wagombea udiwani na mgombea ubunge wa jimbo hilo.

Tuesday, October 26, 2010

A place to be every Tuesday

Jumanne hii na nyingine zinazokuja wakali wote tunakutana pale KATI Billcanas kwenye usiku wa studio 2 live ambapo TID & Topband wanapasuka vizuri kabisa kuanzia saa 4 usiku,Kiingilio mguu yako acha Buku 5(5000) tu mlangoni
Paul the predicting octopus dies

FRANKFURT, Germany (AP)—Paul the Octopus, the tentacled tipster who fascinated football fans by correctly predicting results at this year’s World Cup, died Tuesday.

Paul had reached octopus old age of 2 1/2 years and died in his tank on Tuesday morning in an aquarium in the western German city of Oberhausen, spokeswoman Ariane Vieregge said.


Paul seemed to be in good shape when he was checked late Monday, but he did not make it through the night. He died of natural causes, Vieregge added.
“We had all naturally grown very fond of him and he will be sorely missed,” Sea Life manager Stefan Porwoll said in a statement.


The aquarium has not yet decided how best to commemorate their most famous resident, he said.


“We may decide to give Paul his own small burial plot within our grounds, and erect a modest permanent shrine,” Porwoll said.
Tunda fenesi


"yani nimelitamani sana"

Monday, October 25, 2010

Mjue producer wa video ya ahmada
Abra tha producer  ni CEO na video producer wa GHS company ambayo makao yake makuu ni Kinondoni biafra hapa Dar es salaam.Pia ni editor,director na camera operator.Ameshafanya kazi nyingi nzuri na wasanii tofauti wa bara na visiwani,kazi moja wapo aliyoifanya ambayo leo nimeona niwatambulishe kwenu ni ahmada.Hakuna ubishi  kwa aliyeiona hii video atakubali kuwa huyu brother ni mkali katika anga za wakali.

Abra the producer akiwa location wakati wa kutengeneza video ya ahmada.Huyu jamaa kwa shots zenye akili anatisha.Wewe mwenyewe shahidi unaona jinsi alivyombunifu katika uchukuaji wa video
Hapa akishow love na clients wake baada ya kufanya kazi nzuri.
kuwasiliana  na Abra  the producer kibiashara zaidi
Mobile number: 255713260172
Uefa president Platini opposed to goal-line technology
Uefa president Michel Platini believes goal-line technology would lead to "Playstation football".


Fifa has reopened discussions on the subject but Platini said an assistant behind each goal and greater respect for referees were the solutions.
"The referee has to be helped by clubs, fans, players, media and authorities," he told the Scottish Football Association's website.
"It is why we have added two assistants for Champions League games."


Last week the International Football Association Board (IFAB), Fifa's rulemaking division, asked technology companies to present ideas by the end of November.
Capello fires Rooney warning
England manager Fabio Capello has warned striker Wayne Rooney that he will not play him unless he finds his form.

The Manchester United player is currently sidelined with an ankle injury but his form for club and country has been questionable for the past six months and he has netted just once in the Premier League this season.

Sunday, October 24, 2010

Radio mbao halloween party
Man City 0 - 3 Arsenal
Nasri opened the scoring for his seventh goal in as many Arsenal games

Nasri celebration

Alex Song celebration after doubling the lead

Arsenal profited from the early dismissal of Dedryck Boyata to secure an impressive victory over title rivals Manchester City at Eastlands.
Boyata fouled Marouane Chamakh when he was the last defender five minutes in. Arsenal then went ahead as Samir Nasri exchanged passes with Andrey Arshavin and fired home, before Cesc Fabregas had a penalty saved by Joe Hart.

In the second half Alex Song curled home to double the lead and substitute Nicklas Bendtner slotted in a third.

Saturday, October 23, 2010

Enzi hizo
Enzi hizo za utoto we2 tulikuwa tunaokota hela sana,lkn sasa hivi imekuwa vigumu sana.wewe unafikiri ni kwa sababu gani???
 A)Ugumu wa maisha
B)Watu wamekuwa makini na bahili sana
C)Ukitembea na tochi na huku unaangalia chini utapata tu kama zamani
D)wa2 wengi wanavaa majinsi
E) Hakuna jibu sahihi.(Weka jibu lako mdau)
...

Swali kutoka kwa mdau Abdillah. D. Nkya
Ukitaka kujua zaidi download kupitia hii link:
World's highest-paid player(£250,000 a week)
WAYNE Rooney agreed to stay at Manchester United yesterday - after Old Trafford bosses made him the world's highest-paid player on £250,000-A-WEEK.

Read more: 
 http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/3193705/Wayne-Rooney-on-250k-a-week.html#ixzz139zTRZ5Q
MACHOZI BAND JUKWAA MOJA NA SIKINDE IJUMAA IJAYO YA TAR 29 OCT 2010, MZALENDO PUB


Tunayofuraha kuwajulisha wapenzi wa Machozi kuwa ijumaa ya tar 29 October 2010.
Tuna ugeni kutoka kwa wakubwa waliotutangulia kimuziki.
DDC Mlimani Park Orchestra maarufu kama Sikinde Ngoma ya Ukae.
Katika jukwaa moja ili tupate uzoefu.
Tunawaomba mashabiki na wapenzi wa Sikinde pamoja na wa Machozi mjitokeze kwa wingi kuja kutuo
pa support, pamoja tunaweza.
Mapenzi tele
JayDee
http://ladyjaydee.blogspot.com/

Friday, October 22, 2010

TAMKO LA TAHLISO KWA UMMA KUTAARIFU JUU YA UPOTOSHWAJI
WA HABARI ZINAZOHUSU UPIGAJI WA KURA KWA WANAFUNZI WA
VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA.

UTANGULIZI:
TAHLISO ni umoja huru wa wanafunzi, wa Vyuo vya Elimuya ya Juu Tanzania na umoja huu ulianzishwa na kusajiliwa rasmi tarehe 5/5/2004 na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi na namba ya usajili wake ni SO No. 14245 ina wanachama wapatao 53 (Vyuo). Hivi karibuni mjumbe wake mmoja ambaye ni Mwenyekiti wa TAHLISO ametoa taarifa katika vyombo vya habari kuhusiana na suala la upigaji wa kura kwa wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania. Na hivyo basi suala hili kuchukua kasi katika vyombo vya habari kila siku.TAHLISO inasema ndugu Katongo amezungumza kama mtu binafsi bila kuitisha kikao cha Kamati ya Utendaji (EX-COM), na huu ni ukiukwaji wa katiba ya TAHLISO kama chombo chetu. Baada ya EX-COM kukutana kwa dharura kuhusiana na matamko haya ya Mwenyekiti wa TAHLISO, imetafakari kwa kina na kwa kuzingatia katiba ya TAHLSO ikaibaini mapungufu yafuatayo;

1.Ni kwamba mwenzetu huyu amekurupuka katika kutoa matamko haya, tunasema hivi kwa sababu, kwa mujibu wa katiba yetu ya TAHLISO wa Ibara ya 19 inayozungumzia kazi na wajibu wa Katibu Mkuu wa TAHLISO Ikiwa ni pamoja kutoa matamko,taarifa katika vyombo vya habari, mwenyekiti TAHLISO amevunja kipengele hicho na kufanya kazi ambayo si yake kinyume na katiba, kanuni na taratibu za TAHLISO.

2.Mwenzetu huyu ameonyesha ubabaishaji mkubwa kwa kutokuwa makini katika tamko lake kwa kuhusisha Tume ya vyuo vikuu (TCU) na hoja ya upigaji kura kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu.
 Tunasema hivi kwa sababu yeye ni mjumbe wa bodi ya TCU kwa mujibu wa katiba yetu ya TAHLISO, na katika kikao cha TCU kilichofanyika mwezi wa nne ambacho yeye alihudhuria tulitegemea kuwa katika suala hili kama halidhiki nalo angeanza kupinga kwenye kikao kwanza na kama ingeshindikana angekuja kutushawishi sisi wajumbe wa EX-COM kuhusiana na hoja hii ili kama ni maandamano ya amani tuyafanye kipindi hicho.

 Hata hivyo wakati tunapokea taarifa ya mjumbe kutoka bodi ya TCU katika mkutano wetu wa senate ambao ulifanyika pale chuo kikuu cha Kilimo Morogoro (SUA) ndugu Katongo alidiriki kusema hana taarifa yoyote ya kuhusiana na utendaji wa bodi hiyo. Iweje leo aje na kauli hii ya bodi ya TCU kuwa imehusika katika kupanga vyuo vifungue lini ili wanachuo hawa wa elimu ya juu wasipige kura? Kufanya hivi kwanza ni kukiuka msimamo wa bodi hiyo.

Hivi ndugu zangu waandishi wa habari mjumbe akitaka kuzungumzia msimamo wa bodi/kikao cha baraza la mawaziri si lazima ajiuzulu ndipo azungumzie msimamo wa baraza hilo? Si mnakumbuka Mh. Mrema alipotaka kupinga msimamo wa baraza la mawaziri alijiuzuru kwanza ndipo akayazungumzia.

Hivyo basi sababu za wanafunzi kutopiga kura kama alivyobainisha katika tamko lake si za kweli.
Aidha, tunachokiona sisi kama TAHLISO huenda mwenzetu huyu anatumiwa na watu kutufikisha hapa tulipo. Tunasema hivi, Kwa kuwa tunashangaa kwanini hakutuita sisi wenzake EX-COM atueleze haya na tumpe baraka za kuzungumzia haya kikatiba.

3. Kauli ya ndugu Katongo kwamba serikali kwa kuamua vyuo vifunguliwe mwezi Novemba inafanya hivyo kwa makusudi kuwanyima wanafunzi wapatao 60,000 haki yao ya kupiga kura ni kauli isiyo sahihi na ni yenye lengo la kuwapotosha wananchi kwa sababu zifuatazo;
Si kweli kwamba wanavyuo wote wa mwaka 2010/20111 wanapaswa kuwa vyuoni kwa ajili ya kupiga kura.

Mwaka wa kwanza.
Hawa walikuwa form 6 na wengine majumbani, muda wa kujindikisha kupiga kura,hivyo si kweli kwamba wataathirika na zoezi hili maana wao wakati huo hawakuwa wanavyuo. Kitendo cha kuwapeleka vyuoni kabla ya tarehe 31 mwezi Oktoba kupiga kura katika vituo walivyojiandikisha,ni kuwanyima haki yao ya upigaji kura, ambalo tunadhani Ndugu Katongo hakulifanyia utafiti wa kina. Mfano mwaka huu wanafunzi waliodahiliwa kuingia katika vyuo vya elimu ya juu nchini ni zaidi ya wanafunzi 38,000
Mwaka wa tatu.

Wengi wao wamekwisha kumaliza masomo yao ambayo kwa kawaida huishia mwezi julai. Hivyo hata kama vyuo vingefunguliwa mwezi septemba /October wao wasingepaswa kuwa vyuoni wala hawatakatazwa kupiga kura wakiamua.

Mwaka wa pili.
Hawa wengi wao wapo kwenye mazoezi ya vitendo (field) ni suala lao binafsi kwenda chuo na kupiga kura maana hajazuiwa na yeyote na ni utaratibu wa kawaida kila mwaka wao kwenda field. Wengine wapo kwenye mikoa husika hivyo watapiga kura

Kutokana na tukio hilo TAHLISO inatoa taarifa rasmi kama ifuatavyo:-

A. MSIMAMO WA TAHLISO
Umoja huu upo kwa ajili ya kulinda na kutetea maslahi ya wanafunzi wake wa vyuo vya elimu ya juu nchini Tanzania.

TAHLISO inatambua na kukubaliana kuwa madai yote ambayo wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu waliyokuwa wakiyadai kuhusiana na kupata utaratibu wa kupiga kura katika vituo walivyojiandikisha vyuoni ni sahihi na ni halali kabisa na ndiyo maana iliyaanisha na kuyawasilisha serikalini September mwaka huu.
Hata hivyo TAHLISO ni chombo kinachoongozwa kwa kuheshimu maamuzi ya vikao halali katika kuleta umoja na kulinda maslahi ya wanachama wake; kama ilivyoainishwa kwenye katiba kutokana na ukweli TAHLISO haitambui matamko na mipango ya maandamano inayoendelea kufanyika ikiratibiwa na Mwenyekiti Ndg. Katongo, na wala haiamini katika maandamano hayo kwa sasa kutokana na sababu kuu zifuatazo:

1. TAHLISO inaheshimu maamuzi ya vikao halali ambavyo vitafanyika na wanachama wake na vingine ambavyo vimeshafanyika tayari katika kuleta umoja na kulinda maslahi ya wanachama wake kama ilivyoanzishwa kwenye katiba yake (Objectives of TAHLISO ).
Maamuzi aliyoyafanya Ndg. Katongo ya kwenda katika vyombo vya habari na kutangaza maandamano na kuipa serikali saa 48 kutoa majibu kwa TAHLISO yalikwenda kinyume na utaratibu, kanuni na katiba ya TAHLISO kwani kwa mujibu wa katiba ya TAHLISO kiongozi mmoja hana haki ya maamuzi makubwa kuhusu hatma ya WanaTAHLISO bila ya kutumia vikao halali vya TAHLISO.

2. TAHLISO inatamka kwamba maandamano yaliyotangazwa na ndugu Katongo si halali kwa mujibu wa katiba na hatuyaungi mkono kwa kauli moja.

3. TAHLISO ipo kwa ajili kutekeleza majukumu yake kikatiba na si kutumiwa na mtu, au kikundi au chama chochote cha siasa, kwani kwa kufanya hivyo ni kupingana na katiba yetu ya TAHLISO na lengo zima kuanzishwa kwa chombo hiki.

HITIMISHO
TAHLISO inatoa wito kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu nchini Tanzania kutoshiriki maandamano hayo na wapokee fursa yao kikatiba kwenda kupiga kura katika maeneo waliyojiandikisha, bila kushinikizwa na mtu au kikundi chochote kwa manufaa yao binafsi.

Imeandaliwa na
……………………………………
NG’ORO PROSPER GEORGE
KATIBU MKUU TAHLISO
20.10.2010



‘The friendliest festival on the planet’ is On the way prepare yourself
Sauti za Busara music festival, centred in Zanzibar’s historic Stone Town, features a dynamic variety of African music with more than four hundred musicians participating over five days. Every year during February the ancient walls of the Old Fort resonate as people come together in celebration. The festival is supplemented with fringe events in town and across the island including a carnival street parade.

From Wednesday through til Sunday, around eight groups perform each day. Big names rub shoulders with upcoming artists. There are thirty of the best groups of Zanzibar, Tanzania and East Africa, with another ten groups in 2011 representing Ethiopia, Mozambique, Zimbabwe, Zambia, South Africa, La Réunion, Madagascar, Mauritius, Ghana, Mali and Senegal.


All music on the main stage is performed live. Shows start at 5pm, continuing virtually non-stop, with the final band taking to the stage around midnight. For local people, admission is free until 6:00pm, then around €1 (one euro), see Tickets and Prices. 5,000 attend each day, roughly being 80% people from the region and others from all over Africa, Asia, Europe and beyond.

Sauti za Busara is the annual music event in East Africa and widely known as ‘the friendliest festival on the planet’.
Party uzinduzi wa Swahili Fashion week
Party ya uzinduzi rasmi ya Jukwaa la Tatu la Swahili Fashion week, itafnyika kesho jumamosi katika ukumbi wa Mach More Bilicanas Group, kuanzia saa 4:00 usiku.Kiingilio ni shilingi 20,000.
Wayne Rooney signs five-year Manchester United deal
Wayne Rooney has made a shock U-turn and agreed a new five-year contract at Manchester United just two days after announcing his intention to leave.
 
On Wednesday, the 24-year-old striker said concerns over the strength of the club's squad were behind his original decision not to sign a new deal.
United boss Sir Alex Ferguson said: "I'm delighted Wayne's agreed to stay."


Rooney "I am signing a new deal in the absolute belief that the management, coaching staff, board and owners are totally committed to making sure United maintains its proud winning history - which is the reason I joined the club in the first place"

"I am sure the fans over the last week have felt let down by what they have read and seen. But my position was from concern over the future. The fans have been brilliant with me since I arrived and it's up to me through my performances to win them over again."

The agreement ends a period of intensive discussions at Old Trafford after Rooney issued a statement in which he revealed that United chief David Gill had not given him the assurance he was seeking about the future squad.

"It's been a difficult week but the intensity of the coverage is what we expect at Manchester United," Ferguson told the club's website.

"Sometimes, when you're in a club, it can be hard to realise just how big it is and it takes something like the events of the last few days to make you understand. I think Wayne now understands what a great club Manchester United is."

Mkutano wa Kampeni Mlimba Jimbo la Kilombero:
Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo umeingia mkoani Morogoro wilaya na Jimbo la Kilombero.


Mheshimiwa Kikwete alianza Mkutano wake wa kampeni kwa kuelezea wananchi wa Kilombero kuwa hakuna Chama imara kama CCM na vyama vingine vyote vya CCM vina haki ya kuiga CCM kwasababu bado ni vyama vichanga na havina budi kuiga kutoka CCM.
"Lakini ndugu zangu kwa nini muhangaike na photocopy na wakati original ipo?" Aliuliza wananchi waliofurika kwa maelfu huku akishangiliwa kwa makofi na vigelegele.


Alisema kipindi hiki cha uchaguzi watanzania popote pale walipo wasikubali kuhubiriwa siasa za ubaguzi wa kidini, ukabila wala umwagaji damu kwa ajili ya tamaa za uongozi wa wanasiasa wachache ambao alisema "hawa siasa imewashinda"


akielezea utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2005-2010, alisema anatambua matatizo yanayowakabili wananchi wa Mlimba, na hivyo aliomba Mwenyekiti wa Tarafa hii ya Mlimba kueleza kwa kifupi kero za eneo hili.


Maji ni mojawapo ya tatizo kubwa la Mlimba ikifuatiwa na tatizo la barabara haswa itokayo Kilombero hadi Mlimba. Mengine yaliyoelezewa na Mheshimiwa Kikwete ni la elimu ambapo kuna upungufu mkubwa wa walimu na maabara ya wanafunzi wa sayansi.


Mheshimiwa Kikwete alifafanua malengo ya CCM ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa mwaka 2010-2015 ikiwa ni pamoja na kutatua tatizo la maji kwa vijiji kumi vya wilaya ya kilombero ikiwemo Mlimba A na Mlimba B. Alisema mradi huu umeshaanza kutekelezwa na kwa sasa mkandarasi anaanza kazi ya kutandaza mabomba na kuweka miundombinu tayari kwa kazi kuanza.


Akielezea utatuzi wa tatizo la kituo cha afya ambapo aliwashauri wananchi wa Mlimba kufanya maamuzi kupitia halmashauri yao, ili kituo chao cha afya kipandishwe kuwa hospitali. Yeye aliahidi kuwasaidia kutafuta fedha pindi maamuzi hayo yakishapitishwa na wananchi wenyewe.


Mwishoni Mheshimiwa Kikwete aliwanadi wagombea udiwani na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kilombero Abduli Mteketa ambao wote waliomba wananchi wa Mlimba kupiga kura kwa mafiga matatu ili CCM ishinde kwa kishindo.
Its this friday,i mean Today
Mkutano wa Kampeni Njinjo, Liwale, Ruangwa, Nachingwea Lindi katika Picha
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Nachingwea, mkoani Lindi, Mathias Chikawe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Sokoine mjini Nachingwea Oktoba 19, 2010.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akizungumza na mkazi wa Liwale, Jivunie Bakili Mbunda mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni huko Liwale mkoani Lindi.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Liwale mkoani Lindi, Mama Mitambo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jimboni humo.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akisindikizwa na mwenyekiti wa CCM, mkoani Lindi mzee Mtopa, akipungia wananchi mara baada ya kuwasili kwa helikopta wilayani Liwale mkoani Lindi tayari kuhutubia mkutano wa kampeni Oktoba 19, 2010

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akiwaslili kwenye mkutano wa kampeni, huko Liwale mkoani Lindi, huku akisalimiana na wananchi waliofika kumsikiliza .

Mfuasi wa CCM, akishangilia hotuba ya mgombea urais wa tanzania Jakaya Kikwete, wakati alipohutubia mkutano wa kampeni huko Liwale mkoani Lindi Oktoba 19, 2010

CCM Oyyyee

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akihutubia maelfu ya wakazi wa mjini Nachingwea mkoani Lindi, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Sokoine mjini humo Oktoba 19, 2010.
Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Mwenyekiti wa vijana wa shirika la Serve the Children tawi la Ruangwa Fauzia Omar Ching'ong'ole ambaye ni mlemavu wa ngozi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Ruangwa tarehe 19.10.2010

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mgombea Urais kupia CCM akihutubia wananchi wa mji wa Ruangwa, mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni tarehe 19.10.2010.
Uchaguzi 2010
Ingia katika website ya tume ya uchaguzi ilikujua mambo mengi kuhusu uchaguzi wa mwaka huu.Baadhi ya yaliyo ni jinsi ya kujua kituo chako cha kupigia kura na  TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA TATHMINI YA MWENENDO WA KAMPENI.
Ilikujua kituo chako cha kupigia kura unatakiwa uwe na  namba ya kadi ya mpiga kura.
Fuata link hii:
http://www.nec.go.tz/index.php?
What type of wife are or will you be?
1 Party Wife These are women who
       • Are very mobile and very sociable
       • They are always attending one function after the other (every wedding, bridal and shower, kitchen top up, office functions etc)
       • Are barely at home on weekends to have time with their husbands and family
       • Can spend family food money on gifts

2 Dictionary Wife These are women who
       • Don’t take suggestions: the way she thinks is the way it is
       • The way she knows is the way it is be maintained – no changes
       • Very orderly and became very angry when things are misplaced in their home set-up

3 Pampered Wife These are women who
       • Very spoiled by their parents (normally from rich parents or their the only girl in the family of many boys)
       • They are lazy, hardly do household work
       • Love spending money shopping trivial girlish things
       • Sees their husband like a houseboy

4 Office Wife These are women who
       • Career minded that their family does not matter
       • Are always using carrier as an excuse of not being at home for their family
       • They don’t respect their husbands and makes educated women look bad
       • Think a husband is not important because they can support themselves

5 Patient Wife These are women who
      • Always look like they are sick and down trodden
      • Love to complain on everything (husband, children, relatives even weather)
      • Are always afraid and live in anxiety

6 Headmistress Wife These are women who
     • Make themselves in-charge of the family even when the husband is a sole provider of the home
     • Treat everyone as a child including their husband and visitors
     • Are very questionable and will punish their husbands for any trivial things

7 Boxing Wife These are women who
    • Are very offensive and sometimes can be violent
    • They like shouting and they are nagging
    • Believe in fire for fire

8 Dust bin Wife These are women who
    • They are very dirt and unkempt
    • Very unorganized and confused
    • Very lazy at everything expect gossiping and eating
    • Leaves everything to their servants or their children

9 Security Wife These are women who
    • Very protective of their husband
    • Very jealous, every woman seen as a threat
    • Sees husbands friends as bad company
    • Don’t let anyone discipline their child even a teacher
    • Husband family and friends and workmate are scared of her

10 Good Wife These are women who
    • Virtuous wife (Proverbs 31)
    • Caring, loving and very smart
    • Very helpful, they can even handle husband’s business in his absence
    • Provide spiritual guidance to the children
    • Very understanding and full of self-esteem

Thursday, October 21, 2010

What type of husband are or will you be?
1 Bachelor Husband These are men who
         • Love to do things on their own without consulting their wives
         • Love to hang a lot with their friends rather than their wife.
         • Not very serious with married life

2 Acidic Husband These are men who
         • Are always boiling like acid
         • Are always angry
         • Are violent
         • Moody and dominating
         • They are very dangerous

3 Slave Husband These are men who
        • Feel and want to be treated like kings
        • Treat the wife like their slave
        • Love their wife to be performing old tradition respect gesture to them
        • Don’t like to be called by their first name

4 General Husband These are men who
        • Are husband for every woman
        • They love and care for other women a lot more than their own
        • Even though not in relationship they like giving money to different women but not to their wife
        • They have more female friends

5 Dry Husband These are men who
        • Are very moody
        • Are very stingy
        • They don’t consider the wife’s emotions
        • They don’t like putting energy in the relationship to make it enjoyable
        • They don’t have any sense of humour

6 Panadol Husband These are men who
         • Uses their wife as a problem solver
         • Love their wife when they need something from her and after that she is useless to them
         • Are very clever and knows their wife's weakness and capitalize on them to get relief from their wife

7 Parasite Husband These are men who
         • Are lazy and don’t love to work so they stick to their wife because of wife’s money
         • Are very loving but uses wife money and resources to cheat her with their girlfriends
         • Are not initiative and they don’t even try to help her with house responsibilities

8 Baby Husband These are men who
         • They are very irresponsible and childish
         • Can not make decision on their own without asking their mothers or relatives
         • When something is wrong they rush back to their parents instead of discussing it with their wife
         • Wants their wife to care for them as the way their mother did
         • Who always compare their wife with their mother

9 Visiting Husband These are men who
         • Are not always at home but usually at work
         • They come home like they are visiting or like their home is a lodge
         • Try hard to provide the material needs of their wife and family but they have no time for them

10 Good Husband These are men who
        • Are caring and Loving
        • Provide material and emotional needs of their family
        • They always make time for their family
        • They guide their home spiritually
        • They are very responsible and treat their wife as a partner and a helper
Wadau unaufahamu huu mmea?
Usiseme ni mbali sana,haya sasa nimekuweka karibu zaidi.


Bwana Hamnazo

Jumamosi hii  USIKOSE!!!
Tamasha la Kijana na kura yako  linafanyika jumamosi hii katika viwanja vya posta  kijitonyama kuanzia saa 8 mpaka  sa 12 jioni.
kiingilio
 BURE KABISA

 Tamasha la Vijana na kUra yako limeandaliwa na Tanzania Youth Vision Association.
KAMPENI NOMA..!!!