Tuesday, September 29, 2009


Bongo Star search nusu fainali live kesho kuanzia saa 3:30 ndani ya www.dar411.com karibuni wadau wote .

Moses Rubaga a.k.a Mez B usiku wa kuamkia weekend hii alipata kipigo cha hatari na watu wasiojulikana mara baada ya kusababisha ajali nje ya ukumbi wa Club 84 Mjini Dodoma.

Monday, September 28, 2009


Karibuni tena kwenye sakata la nipehabari leo habariilio tufikia ni kuhusu huyu mdau aliyenyoa nyele zake kama kofia. !!!!

Friday, September 25, 2009

It was a rare moment for Kenya’s Prime Minister Raila Odinga, who met United States President Barack Obama twice in New York. On the left is Mrs Ida Odinga and US First Lady Michelle Obama during a photo op at the Metropolitan Museum in New York on Wednesday. [PHOTO: Lawrence Jackson/ Official White House]

Wednesday, September 23, 2009

Kanda Bongo Man Akiendeleza Makamuzi Na Bongo Djs Uk







Mdau jionee mwenywe Bongo Djs, waliwasha moto huko uk na Mzee mzima Kanda bongo man ilikua sii mchezo Mzee bado yupo fiti.

Thanks 2 every one who came 2 kandabongo man show bless!!! SAT 26Sept its Eid party@Face Nite club rg1 7je reading £5 before mid nite £7 there after.come n celebrate wit bongodjs door open10pm till3.30am its a nite not 2 be missed!!! pls foward www.klexmusic.ning.com


Ruka wear inakuletea box la Eid hili box ni kwajili ya wateja wote wa ruka wear karibuni tulifungue ...!!!!!!!

Jenerali Banza Stoni alivyo washa moto machozi Band,

Banza Stoni akiwa anaimba wimbo wake wa mtaji wa masikini ni nguvuzake mwenyewe akisindikizwa na Machozi Band.











Weekend out photoz ni kutoka Machozi Band ambayo iliwasha moto kwenye sikukuu ya Eid pia Machozi Band iliweza kumualika Msanii machachali Banza Stoni aliwarusha mashabiki wa Machozi kwa nyimbo yake ya ( mtaji wa masikini ) kama unavyoona mdau kwenye hizi picha.

Tuesday, September 22, 2009


Msondo ngoma yaja tena
Kundi mahiri la muziki nchini Msondo Ngoma limeibuka ghafla na kutangaza kuchopoka na albamu yao mpya ijulikanayo kama Huna Shukurani itakayobeba jumla ya nyimbo saba

Friday, September 18, 2009










Ruka pamba inakuwezesha wa wewe Mtanzania kuvaa nguo za Ruka kwa bei nafuu vilevle kama ukibatika kukuna na mdau wa Ruka pamba popote pale mtaani ukiwa umevaa nguo ya Ruka utapata zawadi nyingine ya Ruka pamba karibu wete.

Thursday, September 17, 2009


Karibuni tena wadau kwenye sakata la Jichanganye inakuwezesha wewe mdau kujichanganya na wadau mbalimbali duniani www.jichanganye.tk

Tuesday, September 15, 2009


JIONEE AINA MPYA YA KIWANJA
Haya wachezaji wa mpira wa miguu Tanzania kiwanja kama hichi kikijegwa itakuaje ? bilashaka kazikubwa ipo kwa golikipa wa bondeni.
ELIZABETH KUTUWAKILISHA BIG BROTHER 2009


Age 21
Country Tanzania
Hometown Dar Es Salaam
Occupation TV Presenter / Actress
Biography Elizabeth has one sister, two brothers and she's a Miss Tanzania Top 10 finalist. She says the best part of her country to visit is Mount Kilimanjaro and the best thing about Tanzanians is their kind and positive nature. Elizabeth is a big Man United and Chicago Bulls fan and rates sleeping late and waking up too early as her bad habits. She loves dancing, needle work, cooking, watching TV and traveling - she has also lived in Hungary.

Monday, September 14, 2009

Breaking News
Habari zilizotufikia hivi Punde zinasema aliyekuwa mume wa Mbunge wa Viti maalumu Amina Chifupa na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Mpakanjia a.k.a Medy amefariki muda mchache uliopita kwenye hospital ya Lugalo Jeshini. Habari zaidi zinasema Mpakanjia alizidiwa jana usiku katika Hosipitali ya Dr Masawe Temeke ambako alikimbizwa kwa kupata uduma ya kwanza mpaka mautiyalipo mkuta Mungu alilaze pema Roho ya Marehemu.



MECHI ZA SIMBA ZA LIGI KUU YA VODACOM 2009/2010 (raundi ya kwanza) JE,WAONAJE KUNA UPENDELEO?
Tarehe - Mwenyeji - Mgeni - Uwanja

23/8/2009 - Majimaji - Simba sc - Majimaji
29/8/2009 - TZ Prisons - Simba sc - Sokoine
5/9/2009 - Simba sc - Toto Africa - Uhuru
10/9/2009 - Simba sc - Kagera Sugar - Uhuru
19/09/2009 - Manyema - Simba sc - Uhuru
3/10/2009 - Simba sc - Moro UTD - Uhuru
11/10/2009 - Simba sc - African Lyon - Uhuru
18/10/2009 - JKT Ruvu - Simba sc - Uhuru
24/10/2009 - Simba sc - Azam FC - Uhuru
31/10/2009 - Simba sc - Yanga - Uhuru
7/11/2009 - Simba sc - Mtibwa Sugar - Jamuhuri

Posted by nipehabari on September 4, 2009 at 12:30pm

Sunday, September 13, 2009

BURUDANI YA PEKEE KAMA HAUJAWAI ONA SASA JIONEE LEO
BINADAU KUTEMBEA JUU YA KAMBA,


Haya wadau jioneni wenyewe mchezo huu aujawai kutoke bongo ila kwa jirani zetu kenya ndio mchezo wao mpya. mdau unaweza hisi ni mazingaobwe jama ndio mchezo wake unaompa umarufu jiji Nairobi Kenya.

Tatu Bora ya Mnet Face of Africa
Bongo..
Pichani ni Visura ambao wamefanikiwa kufikia hatua ya juu ambapo majina yao na picha vitatumwa afrika kusini kwa hatua ya mwisho ambayo hatimaye Tanzania itajipatia mwakilishi katika shindano hilo la Face of Africa linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni mwaka huu.

FA to study Ade incidents
The Football Association have confirmed that they will 'take a close look' at the two incidents involving Emmanuel Adebayor in Manchester City's 4-2 win over Arsenal.

Pos
PWDLFAWDLFAGDPTS
1Man Utd9410117301102+1222
2Chelsea940010130297+1121
3Tottenham9301105311118+819
4Arsenal8400174202107+1618
5Manchester City83008322186+717
6Aston Villa83117420153+516
7Sunderland940113711246+416
8Liverpool930115420379+915
9Stoke City93026503126-312
10Burnley940072005217-1012
11Everton82218910223-211
12Fulham82024411246-210
13Blackburn831186003311-610
14Wigan Athletic92125810348-710
15Bolton80225720266-28
16Wolves911235113510-78
17Birmingham91122310448-57
18Hull City920247014415-147
19West Ham Utd80125711346-45
20Portsmouth90053810327-103

Saturday, September 12, 2009

Bongo kila mwezi lazima jengo jipya lizinduliwe wadau wa nje ya nchi karibuni bongo .




Bongo viberiti vinapanda na kushuka kamaunavyoona mdau hii ndio bongo ya sasa yani kasimpya nguvu mpya majengo ya zamani yote. yanaendelea kupingwa nyundo kama kawaida na kujenga vikwangua anga tu,

Thursday, September 10, 2009

Akon films a new music video at “Inc Club”




Akon shot a new video recently in South Africa with some ‘nice South African video broads.”